Follow by Email

Friday, March 22, 2013

There is no mercy in the world (African song)As in other parts of the world, in Africa the problem of 'broken" family is serious. [Click on the song and follow through the lines below to see what I mean.] 

August 2, 2013 we have a "World Mission Night" scheduled to go. This program promotes the call to send out missionaries to two continents: Africa and Europe. 

In preparation for this occasion I loaded up an African song entitled "Dunia Haina Huruma" by Bahati Bukuku. Click on the orange mark for the song. The language is Swahili. The lyrics are found below first in Swahili, then in English. One of the brothers at Kenya UBF translated the contents from Swahili to English. Then you brother and thank you Missionary Mark Yoon for the translation. 

[Lyrics]

Duniaaaaa....
Dunia haina huruma
Dunia haina huruma
Dunia haina fadhila
Dunia haina utu-u
Na maisha yangu
Dunia haina huruma mwenzenu nasema

Ni asubuhi na mapema
Simu ya mkononi inaita
Naitazama kwa makini
Ni namba ya mume wangu
Sauti ya mwanamke inasikika
Inayorarua moyo wangu
Moyo wangu unafura hasira
Kwa taarifa ninazopata

‘Hallo, nenda mwimbini kachukue mzoga wako’
Namwuliza ni nani mwenzangu
Ananijubu kwa kejeli
‘Mimi ni mke mwenzio kama hutaki potezea’

Nawatafuta ndugu na jamaa
Waliokuwa kwenye simu yangu
Ili niwaambie taarifa hizi
Zinazorarua moyo wangu
Dunia haina huruma eeh

Ninafika hospitali
Ninawakuta watu wa mochwari
Maneno wanayoniambia
Yanaumiza moyo wangu
‘Aah Yule mgonjwa aliyeletwa jana aliyepigwa kwenye fumanizi
Tulipomwangalia tukangundua hajafa kwa hivyo yuko katika chumba cha watu maututi’
Ninafika kwenye chumba cha wagonjwa maututi
Ninamkuta mpenzi wa roho yangu
Amepoteza fahamu, hawezi hata nikunitazama

Hili ndilo patano letu mume wangu
Na hapa ndipo jijini Mbea mume wangu
Hili ndilo patano letu mume wangu

The World
There is no mercy in the world
There is no mercy in the world
The world has no aid
The world is insensitive
With my life
There’s no mercy in the world I tell you

Tis early in the morning
The mobile phone rings
On careful look
It’s my husband number
A woman voice speaking
Proudly tearing my heart
My heart bulges with anger
For the news I have received

‘Hello, go pick your carcass’

I ask who are you?
She responds with pride
I am your co-wife, if you don’t want to hear this go away

I look for family and relatives
Over through the phone contacts
To break these news to them
Which have broken my heart
The world has no mercy eeh

Arriving at the hospital
I find the mortuary attendants
The words they say to me
so hurts my heart
‘Aah the patient brought in yeaterday after a caught-up in adultery
We realized that he isn’t dead
So he is in the ICU

I rush to reach the ICU ward

I find him the love of my life
He is unconscious, even unable to look at me

Is this our covenant my husband
And is this our home town Mbea
Is this our covenant my husband

Na hapa ndipo jijini Mbea mpenzi wangu
Haya mapanga ndio zawadi yangu mume wangu.
Hili ndilo patano letu mume wangu
Na hapa ndipo jijini Mbeya mpenzi wangu
Nimegundua dunia haina huruma eh
Dunia haina huruma
Dunia haina huruma
Dunia haina fadhila
Wanadamu nisaidie
Nani mwenye huruma anifariji
Maana moyo wangu unavunja damu
Maana moyo wangu unavunja damu
Kwa matatizo niliyopata

Dunia haina huruma
Dunia haina uchungu
Mimi na maisha yangu

Ninawapigia ndugu wa mume wangu
Yaliyomsibu mume wangu
Wote wananisusia
Nachukua vitabu vya benki
ATM hasisome sote
Ninamwomba daktari
Daktari naomba nisaidie
Mume wangu akipona
Gharama sote tutalipata
Na kama la hajapona
Utachukua gari langu
Kwa kweli mama ningeweza kukusaidia
Lakini hizo gari haina ya 4B....
Kwa kawaida zinakula sana mafuta’
Nawatafuta marifiki wa mume wangu
Na kwanza ninapofika hapo
Wanaanza kunipa masharti
Yanayorarua moyo wangu

Nikimtazama mume wangu ndio kwanza anakoroma
Nikimtazama daktari hawezi hata kunitazama
Dunia haina huruma eeeh
Dunia haina huruma  ooh
Mashemeji wamegoma kutoa misaada

And is this our home town Mbea my love
This machete wounds are my gift oh my husband!
Is this our covenant my husband
And is this our home city Mbea my love
I realize there is no mercy in the world
There is no mercy in the world
There is no mercy in the world
There world has no aid
Oh peoples help me
Who is compansionate to console me
For my heart is bleeding
For my heart is bleeding
Under the tragedy on me

There is no mercy in the world
The world feels no pain
Over my life

I call my husband’s brothers
To give aid of this trouble upon him
But they all decline
Taking my bank statements
ATM card reflects no balance
I beg the doctor
For him to help me
For when my husband’s recovers
All expenses we shall pay
And incase if he doesn’t recover
You will redeem my car
‘Surely I could help you
But those type of cars normally consume lots of fuel’
I call the friends to my husband
On their arrival (at ICU)
  Immediately they set their terms for help
This just tears down my heart

Looking at my husband he begins to moan consciously
Looking at the doctor but he turns away

The world has no mercy eeh
The world has no mercy ooh
In-laws have declined their help

 Maneno wanayoniambia
Sahamani shemeji, ningeweza kukusaidia,
Lakini naenda kuangalia mpira Ulaya
Nawatafuta mawifi kwa mara nyingine
Kwa kweli wifi si unajua
Tungeweza kukusaidia, lakini wale wenzangu wote wacheza shengele watakuja siku ya Jumamosi, kwa hivyo nimewaambi na siwezi kughairi kwa sababu wameshona sare
Niliamua kumwangukia daktari
Hicho ndicho chanzo cha tatizo langu
Ndio siku niliyopata huyu mtoto.

Msiba wangu ukaongezeka
Dunia haina huruma
Dunia haina uchungu
Mimi na maisha yangu
Leo nataka kutengeneza na Mungu
Nimechoka kudanganya moyo wangu
Nataka kutengeneza na Mungu
Lazima kutengeneza na Mungu

Nikimwambia mume anaweza kuniua
Ila moyo wangu unanishuhudia ni lazima nimwambie 
Maana nataka kuteneneza na Mungu
Mimi lazima nitengeneneza na Mungu
Nimeamua kuteneneza na Mungu
Nataka nitengeneneza na Mungu

Mume wangu ile siku ulipocharazwa mapanga
Yule daktari aliyekuwaanakuuguza ndiye mwenye huyu mtoto
Mume wangu alinitazama tu
Akaondoka mbele yangu
Asubuhi na mapema nikaitwa kijijini
Wakinisisitiza kwa hasira
‘Kuja na motto wako akiwa hai’
Nilipofika kijijini nikawakuta mawifi zangu
Kila niliyemsalaimia hakuweza kunijibia
Mashemeji walionipenda, nao pia nilifanya hivyo hivyo

They give their excuse as
‘We’re sorry we could have assisted
But have to watch live football in Europe
I look up to my sisters- in -law
Honestly my in- law, you clearly know
We could help you but
All my team players
They are coming this Saturday so
I cannot changed the day have fixed
For they have their uniform ready
I resolved to give in to the doctor
And that was the genesis of trouble
It was the day I conceived this child

My misery multiplied
The world has no mercy
The world feels no pain
It’s me and my life
Today I resolve to reconcile with God
Am tired of deceiving my heart
I want to reconcile with God
I must make up with God

If I confess to my husband, he may kill me
But my heart is convinced I have to confess to him
For I want to reconcile with God
I have to be reconciled to God
I am determined to be with God
I want to be reconciled to God

‘My husband, the day you bore machete wounds
The doctor who attended to you is the father of this child’
My husband just stared at me
And walked away from me
Next day early morning I was summoned to the village, with a stern command
‘Come with your child alive!’
Arriving at the village there my sisters-in-law
For every greeting no-one responded
Even the in-laws in the same manner, didn’t respond to my greetings

Kila aliyenitazama, alinitazama kwa dharau
Huruma yangu iko wapi dunia
Huruma yangu iko wapi dunia

Kikao cha familia kilipokaa
Niliowaomba msaada ndio walionihukumu
Dunia haina huruma
‘Kama unataka kukaa na mtoto wetu
Mtoto wako lazima auwawe maana sisi hatumtambui mtoto haramu katika familia yetu
Nikamtazama mtoto wangu aliyesismamishwa mbele yangu
Nikangeuka pembeni yangu, nikamwona mume mume wangu, ananitazama kwa hasira Hasiweze kunihurumia
Huruma yangu iko wapi dunia
Faraja yangu iko wapi dunia
Kimbilio langu nikimbilie wapi dunia
Dunia haina huruma
Dunia haina fadhila
Ulimwengu nisaidie
Ulimwengu nihurumie

Nilipoendelea kuomba msamahaaa
Wifi mkubwa alinyanyuka
‘Unatuletea usanii hapa
 Fanyia kaka yetu huko huko
Sisi ni watoto wa mjini bwana hatutishwi machozi
Sasa huo upumbavu wako usituletee mbele ya kikao.’

Mtoto wangu aliwekwa katikati yao
Ili achapwe mapanga mbele yangu
Baba mmoja mwenye busara
Akasema ni nani kati yetu
Mabaye Hajwahi kutenda kosa awe wakwanza kupiga mapanga
Wote wakatazama
Hakuna aliyeniangalia
  
Looking at me everyone showed mockery

I wonder where is my compassion
I wonder where is my compassion

When the family meeting began
To whom I begged for help, the same people now condemned me
There is no mercy in the world
‘If you want to stay married to our son
Your child must be killed
For we don’t accept an illegitimate child in our family’
I looked at my child
Who had been put before me
Then I turned to look at my husband at the corner, looking at me in anger, without any compassion in heart
Where is my compassion oh peoples
Where is my consolation oh peoples
Where is my refuge oh peoples
There is no mercy in the world
The world has no aid
Oh peoples help me
Oh peoples have mercy on me

As I pressed on pleas for forgiveness
My eldest sister–in–law showed up
‘Now you bring comedy show to us
Do this to our brother away from us
We are the strong of the city, we have no  weakness of shedding a tear
Now such foolishness is not for this family meeting

My child was put in their midst
Before me to be slashed with machetes
One wise elder arose
Saying, ‘whose of you does no sin or mistake
Be the first to strike’
All in the meeting looked at each other
None dared to look at me

Mume wangu akasimama na kuanza kulia kwa uchungu
Kuanzia leo hii, unisamehe mke wangu,
Kuanzia leo hii, ni nakupenda mke wangu

Ya dunia yamenichosha
Ya ulimewngu yamenichosha
Kuanzia leo hii, ninatubu mke wangu,
Kuanzia leo hii, unisamehe mke wangu,
Nataka kutengeneza na Mungu
Nataka kutengeneza na Mungu

Kumbe Mungu anaweza kusamehe
Kumbe Mungu anaweza kukuita  tena
Kumbe Mungu anawezakujibu maomba
Ndilo nililojifunza leo.

Yesu wangu ana jibu
Tena yeye anasikia
Pia tuombe bila kukoma
Nataka kutengeneza na Mungu
Lazima kutengeneza na Mungu
Nataka kutengeneza na Mungu
Lazima kutengeneza na Mungu
(MWISHO)

My husband arose accompanied by bitter weeping
‘From today, forgive me my wife
From this day, I love you my wife

I am tired of worldly affairs
I am tired of worldly affairs
From this day I repent my wife
From today forgive me my wife
I want to reconcile with God
I want to reconcile with God’

Alas God can forgive!
Alas God can give second chance
Alas God can answer prayers
These I have learned today

My Jesus has the answer
And again Jesus hears
Lets then pray without ceasing
I want to reconcile with God
I have to be reconciled to God
I want to reconcile with God
I have to be reconciled to God
 (END)

No comments: